DADA ZETU NA TABIA YA KUTELEKEZA WATOTO...!
Bibi na wajukuu zake...............Ipo tabia moja ambayo imeshamiri kwa upande wa kina dada au wanawake wengi ya kuwatelekeza watoto wao nyumbani kwa wazazi wao. Suala la kuwatunza hao watoto wenyewe...
View ArticleWARSHA NA MAKONGAMANO: YAKITUMIWA VIZURI NA WALIO SINGLE HUSAIDIA KUMPATA MWENZA
Imebainika kwamba, iwapo warsha na makongamano yanayofanyika mbali yakitumiwa vyema na watu walio single na wanaotafuta wenza wa kufunga nao ndoa husaidia kufanikisha jambo hilo.Kwanza, makongamano...
View ArticleWANAWAKE NA UMBEA WA SALUNI...!
Kwenye Saluni nyingi za wanawake, mazungumzo mengi yanahusu maisha ya watu na hasa kuhusu mapenzi na kipato, kashfa na saikolojia zisizo rasmi kuhusu ndoa na uhusiano. Kuna mazungumzao ya kukatishana...
View ArticleMWANAMKE: AINA 10 ZA WANAUME WA KUEPUKA KUWA NA MAHUSIANO NAO HAWA HAPA...!
1. Mwanaume Kicheche:Hakuna mwanamke anayependa kuchezewa na wanaume, labda tu kama anafanya hivyo katika juhudi zake za kujikwamua kiuchumi, lakini pale mwanamke anapokuwa katika harakati za kutafuta...
View ArticleKUNA WANAWAKE WANAOWAFUNGASHIA WAUME ZAO NA KUWAPELEKA KWENYE NYUMBA NDOGO...!
Hebu fikiria mwanaume anatoka kazini na anapofika nyumbani tu anakutana na ‘kiama’ cha maneno na lawama au kero. Baada ya madhila ya kazi ya kutwa nzima ya kutafuta riziki kwa ajili ya familia,...
View ArticleMWANAUME ANAPOKOSA 'CHAKULA' NYUMBANI, HUWEZA KULA CHOCHOTE MTAANI...!
Kwa kawaida kadiri mwanaume anavyokosa tendo la ndoa kutoka kwa mwenzi wake ndivyo ambavyo anazidi kujishinikiza kihisia. Kama atakosa tendo kwa wiki nzima mambo huwa magumu zaidi, kwa sababu bila...
View ArticleWANAUME WANAPOSHINDWA KUWAJIBIKA KATIKA MALEZI, IWEJE LAWAMA ZIELEKEZWE KWA...
Malezi bora na timamu, yanapaswa kuwashirikisha wazazi wote wawili, yaani baba na mama. Wazazi hawa wanaposhirikiana katika kuwapa watoto wao malezi yenye taratibu njema za kimaadili, ni dhahiri kabisa...
View ArticleMIAKA MITATU YA NDOA, KIPIMO CHA NDOA KUENDELEA AU KUVUNJIKA...!
Kuna msemo katika Kiswahili kwamba, kipya ni kinyemi. Msemo huu una maana kwamba, kitu kikiwa kipya huvutia sana na wakati mwingine inakuwa kama vile tunaamini kwamba, hatutaweza kamwe kupunguza hisia...
View ArticleMALEZI YA WENETU YANAPOKUWA YA LAANA...!
Wataalamu wamethibitisha hivi sasa kwamba, familia ambazo wazazi ni walevi kwa mfano, au ni wavuta bangi, ni rahisi sana kwao kuwarithisha watoto wao kuliko watu wanavyofikiria. Jambo ambalo...
View ArticleMZAHA NA KUCHEKESHA HUDUMISHA UHUSIANO KWA WANANDOA...!
Mzaha na Kuchekesha hudumisha uhusiano kwa wanandoa………!Kucheka mara kwa mara kutakuondolea msongo wa mawazo na mifadhaiko; pia kutakufanya kulala usingizi mnono na kufurahia maisha yako. Uchekeshaji ni...
View ArticleMWANAMKE: JE, BADO UNA HISIA ZA KUMPENDA MPENZI MLIYEACHANA...?
Kuondokana na hisia za mapenzi dhidi ya mpenzi uliyetokea kumpenda sana lakini mkaachana katika mazingira ambayo hukuyatarajia, si jambo rahisi na hasa kama wewe ndiye uliyeachwa. Unaweza kujiambia...
View ArticleMWANAMKE: WATANGULIE WAMBEA MAPEMA, ILI WAKIJA KUMNONG'ONEZA AWAAMBIE 'NINAJUA'
Mwanamke: Watangulie wambea mapema kabisaa, ili wakija kumnong’oneza awaambie, ‘ninajua’Hebu nikuulize wewe mwanamke. Je umewahi kumficha mumeo au mpenzi wako kitu chochote kuhusu maisha yako ya...
View ArticleALINIPIGA KIDOGO TU, TENA MARA MBILI KWA MWEZI, KUNA WANAOPIGWA KILA SIKU...!
Tunajua wote kwamba, hutokea wanawake wakateswa sana kwenye uhusiano wao wa kindoa au kimapenzi na bado wakaendelea kukaa tu kwenye uhusiano huo. Inafikia hadi mtu anakufa huku akiona kabisa. Watu...
View ArticleMWANAMKE: HATA KAMA HUZAI KINAKUUMA NINI...?
Mnaweza kufikia umri huu bila mtoto na ndoa ikaendelea kuwa ya upendo.......Inaelezwa kwamba wanawake huwa wanavurugikiwa sana kiakili pale wanapogundua kwamba hawana kizazi au hawawezi kupata...
View ArticleUHUSIANO UNAPOVUNJIKA, WANAWAKE NDIYO HUUMIA ZAIDI....!
Kwa kuangalia idadi ya watu wanaoathirika kufuatia kuvunjika kwa uhusiano kati ya mwanamke na mwanaume mtu atagundua kwamba wanawake ndiyo ambao hupatwa na athari kubwa zaidi. Kwa mfano ukichukua watu...
View ArticleKWA NINI WANAUME WENGI SIKU HIZI HAWAPENDI KUOA...?
Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu miongoni mwa jamii kwamba imekuaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo sana hasa linapokuja swala la kuoa? Kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo idadi ya...
View ArticleHII NDIYO SABABU YA WANAWAKE WENGI KUIBUA MABOMU...!
Hii ndiyo sababu ya wanawake wengi kuibua mabomu…!Mnamo mwaka 1973 Dk. Paul MacLean, mtafiti toka taasisi ijulikanayo kama National Instute of Mental Health, alibaini kwamba, ubongo una sehemu tatu...
View ArticleMWANAMKE: KABLA HAJATOA TAMKO LA KUFUNGA NDOA USIMWAMBIE HAYA...
Mwanamke: Kabla hajatoa tamko la kufunga ndoa usimwambie haya…!Katika maisha wote tuna siri zilizotuzunguka na mambo mbalimbali ya kifamilia pengine yanayotia kinyaa ambayo huwa tunatamani yasijulikane...
View ArticleMWANAMKE: JE UNATAFUTA MCHUMBA? FUATA KANUNI HII, HAKIKA UTAMPATA MCHUMBA...
Mwanamke: Je, unatafuta mchumba? Fuata kanuni hii hakika utapata mchumba mwenye tabia uzitakazo...Kuna kitu kinaitwa nguvu ya mvuto, lakini pia huenda mmeshawahi kusikia au kusoma kitabu kinachoitwa...
View ArticleWANAWAKE: WANAUME WANAPOWABISHIENI MSIWASHANGAE...!
Kwa nini wanaume ni wagumu sana kufanya mambo ambayo wake zao wanawaomba au kuwataka kufanya? Jibu, ni kwa sababu ni wanaume na wameona baba zao wakifanya hivyo na wakaiga. Lakini jibu linaweza kuwa...
View Article