Quantcast
Channel: UTAMBUZI NA KUJITAMBUA
Browsing all 54 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke: je unataka kupunguza unene? Wataalamu wagundua njia mpya ya ya...

Kwa nchini Marekani, tatizo la unene ni janga la kitaifa.... Swala la wanawake kupunguza unene sasa limefikia katika hatua ya kushtua. Hivi sasa huko nchini Marekani mtaalamu mmoja amegundua njia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kile kinachoitwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa…..

 Hivi sasa katika jamii yetu kuna kundi la wanawake ambao wana watoto lakini hawajaolewa lakini pia lipo kundi kubwa la wanawake ambao wako kwenye ndoa au mahusiano kwa muda mrefu lakini hawana watoto,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Machale na utendaji wake (Intuition)

Wengi wetu tunadhani kwamba machale ni kitu cha kufikirika na hayafanyi kazi kama inavyosemwa. Ukweli ni kwamba machale yapo  na yanafanya kazi sema tu wengi hatufuati maelekezo ya machale yetu kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makosa wanayoyafanya wanawake linapokuja suala la kupenda..!

Important mainly because it was sent directly to you.Click to teach Gmail this conversation is not important.Je wewe ni mtu wa kupenda ghafla, yaani mwanaume anapokutamkia kwamba anakupenda huwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je inakuwaje wanawake wasiotulia huopoa wanaume wenye muafaka...?

Kuna jambo moja huwa linawaacha wanawake wengi na maswali yasiyo na majibu na wengi huwa wanajiuliza maswali bila ya kupata majibu. Kuna baadhi wanawake ambao hawajatulia, vijana wa mjini huwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vitu ambavyo huwavutia wanaume wamwonapo mwanamke zaidi ya muonekano...!

Mwanamke, je umeshawahi kushitukizwa mtoko (dating) na mwanaume wakati wala ulikuwa huna mpango wa kutoka siku hiyo? Lakini pia umeshawahi kujikuta ukiwa unamvutia kila mwanaume unayekutana naye pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTUMIE HIVI MUDA WAKO BAADA YA SHULE

WANAFUNZI wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda wao baada ya masomo. Wengine kwa michezo isiyo na maana, kushinda vijiweni, kutazama televisheni kupitiliza au kuwa bize na mitandao ya kijamii ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke Unaweza kuwa mtabiri jinsi mwenzi wako atakavyokuwa baada ya miaka...

Ndio kwanza mmeanza uhusiano ambapo mnaelekea kufunga ndoa, wote bado ni vijana wabichi, hamna majukumu makubwa yanayohitaji fedha, hamna watoto, kwa hiyo fedha mnazopata ni kwa ajili ya kula na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hafla, mitoko na ngono zisizo salama kwa wenetu

Mpaka miaka ya hivi karibuni mambo ya uchumba yalikuwa hayawezi kufanyika bila ya kuwepo wazazi na familia. Mitoko mingi na kualikana ilifanyika majumbani wakiwapo wanafamilia wote. Kujitokeza kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utata maumbile ya wanaume!

Tafiti nyingi zinaonesha kwamba, karibu wanawake tisa kati ya kila kumi wanaridhishwa na maumbile ya sehemu za siri za waume au mabwana zao. Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya wanawake kumi ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je, Mnajua tofauti ya mapenzi na mahaba?

Kwa mujibu wa wajuvi wa lugha, Mapenzi ni hisia za upendo kwa mwenza wako na mahaba ni vitendo vya kuyathibitisha mapenzi.Ni kwamba mapenzi yako moyoni is emotional issue. You love and if you cant...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Athari ya kitambi kiafya

Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo la tumbo kwa kiasi kikubwa.Mtu akiwa na kitambi anapata athari kubwa ikiwamo kupungua kwa umri. Katika karne hii,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanawake na hisia za usaliti: zijue dalili zake

 Inawezekana ukawa ni mke wa mtu au una mpenzi wako ambaye mna matarajio ya kufunga ndoa na kuishi pamoja. Kuna wakati unaweza kujaribiwa na kujikuta ukikabiliwa na hatari ya kumsaliti mpenzi wako....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuwa mjamzito

UJAUZITO ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo...

View Article
Browsing all 54 articles
Browse latest View live